Tel: +254 (0)20 2271000/ 20

Email: ashc@cabi.org

Usubi wa mtama – Stenodiplosis sorghicola / Contarinia sorghicola

Summary:

MUHTASARI: Usubi wa mtama ni mmoja wa wadudu hatari muhimu sana wa mtama. Mabuu wa usubi hula mbegu zinazoendelea na kusababisha nafaka kukunjika, na vichwa vitupu. Mbinu za kitamaduni za kudhibiti ndizo bora. Unyunyizaji kemikali wafaa kufanywa kwa makini na wakati muafaka kwa kuwa wadudu hutumia muda mwingi wa mzunguko wao wa maisha wakiwa kwenye ulinzi ndani ya maua. Kutumia aina zinazohimili mashambulizi, kupanda mapema na kupanda aina ambazo hutoa maua kwa wakati mmoja ni mbinu muhimu zinazoweza kutumika kupunguza uharibifu wa mazao.

Languages:
Swahili / Kiswahili
Target Audience:
Agro-dealers, Extensionists, Students, Technical College, Trainers in ISFM, University
Partners:
Africa Soil Health Consortium, Plantwise
Format:
Leaflet/ booklet/ factsheet
Cropping Stages:
Growing/field management, Harvest, Planning and land preparation, Planting, Post-harvest & storage
Countries:
East Africa
Reference Number:
Kiswahili 0445-L2

Downloads

Related Materials

Comments