Tel: +254 (0)20 2271000/ 20

Email: ashc@cabi.org

Vipekecha shina wa mawele – Coniesta ignefusalis

For a more extensive collection of plant health information please check out the CABI Plantwise Knowledge Bank 

Summary:

MUHTASARI: Vipekecha shina ni wadudu waharibifu wakubwa wa mawele katika maeneo ya ukame na ya kusini mwa Sahara. Larva, au viwavi, wa nondo hawa huchimba handaki ndani ya shina na husababisha mmea kuanguka, ‘mioyo wafu’ na nafaka kukosa kujaza vizuri. Matumizi ya kemikali ni vigumu kukubalika kutokana na ugumu wa kupata majira muafaka ya kuweka dawa na gharama. Mchanganyiko wa mbinu za kitamaduni, kama vile kupanda mapema, kufanya kilimo mseto au kutumia mfumo wa ‘sukuma-vuta’ (‘push-pull’), na usimamizi wa mabaki ya mazao ni mbinu bora zaidi za kudhibiti wadudu hawa.

Languages:
Swahili / Kiswahili
Target Audience:
Agro-dealers, Education, Extensionists, Farmers, Students, Technical College, Trainers in ISFM, University
Partners:
Africa Soil Health Consortium, Plantwise
Format:
Leaflet/ booklet/ factsheet
Cropping Stages:
Growing/field management, Planning and land preparation, Planting, Post-harvest & storage
Countries:
East Africa
Authors:
Erica Chernoh
Reference Number:
Kiswahili 0427-L2

Downloads

Related Materials

Comments